Golikipa wa timu ya mkoa wa Tanga, Fikirin Suleiman akiudaka mpira mbele ya mshambuliaji wa timu ya mkoa wa Dodoma, Japhet Lunyungu (kushoto), wakati wa mchezo wa robo fainali ya Copa Coca-Cola, uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume Dar es Salaam leo. Tanga imeshinda 1-0.
Mashabiki wa soka wakifuatilia mchezo kati ya Dodoma na Tanga, uliopigwa leo, uwanja wa Karume, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Francis Dande)
No comments:
Post a Comment