TANGAZO


Monday, July 30, 2012

Waziri Mkuu Pinda katika matukio mbalimbali, Alex Msama Bungeni


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Babati, Kisyeri Chambiri kwenye jengo la utawala la Buge Mjini Dodoma, Julai 30,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia (katikati) na Mbunge wa Kasulu Mjini, Moses Machali (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 30, 2012.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama wakati alipotembelea bungeni leo mjini Dodoma na kuongea na Mawaziri wabunge na viongozi mbalimbali wanaohudhuria vikao vya Bunge mjini Dodoma.

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makala akizungumza na Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama mjini Dodoma leo.
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos Makala akifurahia jambo na Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama mjini Dodoma leo.
Mbunge wa jimbo la Tabora mjini Aden Rage akizungumza na Mtangazaji wa TBC Shaban Kisu katikati ni Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama.

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Muhongo akizungumza na Mtangazaji wa TBC Shaban Kisu kulia ni Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama. (Picha zote na mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment