TANGAZO


Friday, May 4, 2012

Mawaziri waliotemwa kwenye Baraza jipya


Waziri wa Viwanda na Biashara, Cyril Chami -OUT

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Haji Mponda - OUT

Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige - OUT

Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo -OUT

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Athuman Mfutakamba - OUT

Waziri wa Uchukuzi, Omar Nundu - OUT


Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja - OUT

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Lucy Nkya - OUT.

No comments:

Post a Comment