Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wasanii, alipowasili nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba, Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa. (Picha na Freddy Maro, Ikulu)
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mdogo wa marehemu, Steven Charles Kanumba, Seti, alipowasili nyumbani kwao, Sinza 'Vatican' leo April 8, 2012, kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa.
Rais Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo, nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba, Sinza 'Vatican' kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa
Rais Kikwete akiweka saini katika kitabu hicho, nyumbani hapo
Rais Kikwete akiwafariji wafiwa, nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba, Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam, leo, alikofika kuomboleza nao kifo hicho.
Rais Kikwete akizungumza na wafiwa, nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican', wakati alipofika nyumbani hapo kuwafariji.
Rais Kikwete akiongea na wanakamati ya msiba wa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo, alipofika kuwapa pole wafiwa.
Rais Kikwete akiongea na wanakamati ya msiba wa marehemu Steven Kanumba Sinza 'Vatican' leo alipofika kutoa pole kwa wafiwa.
Rais Kikwete akiaga na msanii Ahemd Ulotu 'Mzee Chilo', wakati alipokuwa akiondoka nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba Sinza 'Vatican' , alipokwenda kutoa pole kwa wafiwa leo April 8, 2012.
Rais Kikwete akiaga na msanii Mr. Cheni, nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba Sinza 'Vatican' jalipokuwa akiondoka baada ya kuwapa pole wafiwa.
Rais Kikwete akiaga waombolezaji, nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' leo.
Rais Kikwete, akiongea na waandishi wa habari, nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba Sinza, jijini Dar es Salaam, alipokwenda kutoa pole kwa wafiwa.
Rais Kikwete akiwaga waombolezaji, wakati akiondoka nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo, baada ya kuwafariji wafiwa.
No comments:
Post a Comment