TANGAZO


Sunday, April 15, 2012

Guinea Bissau waandamana

Askari wa usalama wa Guinea-Bissau wamevunja maandamano ya kutaka waziri mkuu aliyekamatwa katika mapinduzi ya Alkhamisi, aachiliwe huru.

Waziri Mkuu wa Guinea Bissau

Waandamanaji kadha wamejeruhiwa.
Waziri Mkuu, Carlos Gomes Junior, alikuwa akiongoza katika kampeni za uchaguzi, ambao ulipangwa kufanywa mwezi huu.
Inafikiriwa Bwana Gomes amepelekwa kwenye kambi ya jeshi mjini Bissau, pamoja na rais wa mpito, Raimundo Pereira.

No comments:

Post a Comment