TANGAZO


Monday, April 2, 2012

Chadema yawashukuru wananchi Arumeru Mashariki

Mbunge mteule wa jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akiwasili, akiwa kwenye gari, Uwanja wa Shule ya Msingi Leganga, ambako kumefanyika mkutano wa kuwashukuru wapiga kura wa jimbo hilo leo. (Picha na Joseph Senga)

 Mbunge Lema, akiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Leganga, ambako kumefanyika mkutano wa kuwashukuru wapiga kura wa Jimbo hilo leo.


Mmoja wa wazee wa Chama cha Demokasia na Maendeleo, akizungumza katika mkutano wa kuwashukuru wapiga kura kwa kumchagua Nasari kuwa Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki.
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu 'Mr Sugu', akitumbiza wakati wa mkutano wa kuwashukuru wapiga kura wa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa kumchagua Mbunge wa Chadema, uliofanyika  Shule hapo leo.
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, akiwashirikisha wanachama na wapenzi wa chama hicho, kuitikia msemo wa ‘Peoples Power’, wakati wa mkutano wa kuwashukuru wapiga kura wa Jimbo la Arumeru Mashariki, umefanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Leganga leo.







No comments:

Post a Comment