TANGAZO


Friday, March 9, 2012

Watakiwa kutumia njia sahihi za kilimo cha kitaalamu kuepusha uchafuzi wa vyanzo vya maji


Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge (katikati), akimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Maji Vijijini, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya maandalizi ya maadhimisho ya 24 ya wiki ya maji, Mhandisi Amani Mafuru, mara baada ya kumalizika kwa mkutano na waandishi wa habari leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi Christopher Sayi.  Maadhimisho hayo yatafanyika Kitaifa mkoani Iringa, kuanzia tarehe 16-22 mwezi huu. (Picha na Anna Nkinda - Maelezo)


Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Gerson Lwenge, akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam leo, kuhusu maadhimisho ya 24 ya wiki ya maji ambayo Kitaifa yatafanyika mkoani Iringa, kuanzia tarehe 16-22 mwezi huu. 


No comments:

Post a Comment