Mwenyekiti wa Taasisi ya
Mfuko wa Sekta Binafsi, Ester Mkwizu (kushoto) akimkabidhi Peter Gwitame msaada
wa baiskeli zilizotolewa msaada na Kampuni ya simu ya Tigo kwa ajili ya watu wenye
ulemavu, wanachama wa Taasisi ya Kusimamia Huduma na Maendeleo kwa Watu Wenye
Ulemavu (DEBD). Tigo imetoa baiskeli 26, zitakazowasaidia katika biashara ya
kuuza vocha na Tigo Pesa. Kulia ni Meneja wa Promosheni na Matukio wa Tigo,
Edward Shila. (Picha na Richard Mwaikenda)
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Ester Mkwizu, akimkabidhi baiskeli Happy Lwazadi mkazi wa Keko Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Ester Mkwizu akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa BEBD, Trnity Promotion na watu wenye
ulemavu waliokabidhiwa msaada huo wa baiskeli. Hafla hiyo ilifanyika kwenye
viwanja vya Shule ya Watu wasiosikia Buguruni, Dar es Salaam leo Machi 11.
No comments:
Post a Comment