Mbunge wa Mtera, Mjumbea wa NEC ya CCM, Livingstone Lusinde ' Kibajaji', akiwahutubia wananchi katika mkutano huo, kijiji cha Makiba jana.![]() |
Mratibu wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi wa Jimbo la Arumeru Mashariki Mwigulu Nchemba, akizungumza na wananchi pamoja na wanachama walohudhuria kwenye mkutano huo.
|








No comments:
Post a Comment