TANGAZO


Saturday, March 10, 2012

Kipute cha Yanga na Azam FC Uwanja wa Taifa leo

 Mchezaji Athuman Chuji (kushoto), akitafuta mbinu ya kumnyanganya mpira Mriaho Ngssa wa Azam FC, wakati timu hizo zilipomenyena katika Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo jioni. Azam FC ilishinda kwa mabao 3-1. (Picha na Kassim Mbarouk)



 Mrisho Ngassa, akimtoka Nsajigwa wa Yanga katika mpambano huo.


 Boko wa Azam FC, akimtoka Athuman Chujikatika mchezo huo


 Kipre Tchetche wa Azam FC, akiwatoka Shaaban Kado na Chacha Marwa (kulia) wa Yanga katika mchezo huo.


 Mwamuzi wa pambano kati ya Yanga na Azam FC, Isarel, akiwakimbia wachezaji wa timu hiyo baada ya kuanzisha vurugu ya wachezaji hao kutokana na kukataa maamuzi ya refa huyo.


 Kapteni wa Yanga, Shadrack Nsajigwa, akijaribu kuwazuiya wenzake ili wasilete fujo kwenye mchezo huo.


 Baadhi ya Viongozi na Wachezaji wa timu hiyo, wakimzuiya mchezaji wa timu yao, Nadir Haroub
'Canavaro, asilete fujo katika mchezo huo.


 Wachezaji wa Azam FC, wakimsikiliza mwalimu wao, Hull Stewert


 Mashabiki wa timu ya Yanga wakiwa wamekaa kiimya wakisubii maamuzi ya Refa kwenyemchezo huo.


John Boko na Said Murad, wakishangilia moja ya goli aliloifungia timu yake katika mchezo hupo.

No comments:

Post a Comment