Jaji
Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, akikagua gwaride lililoandaliwa maalum kwa ajili ya
kuadhimisha Siku ya Sheria Tanzania leo, jijini Dar es Salaam. (Picha na Richard Mwaikenda)
Jaji mstaafu, John Mkwawa (kushoto), akiwa amevalia vazi la kimila la kabila la Wahehe, wakati wa maadhimisho hayo.
Jaji Mkuu, Mohamed Chande Otham (kushoto), akizungumza na Spika Anne Makinda, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria leo Februari 3, 2012 jijini. Kulia ni Jaji Kiongozi, Fakhi Jundu.
Rais Jakaya Kikwete (watatu kulia), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wanasheria wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria leo jijini.
Rais Jakaya Kikwete (wa tatu kulia mstari wa mbele), akiwa na baadhi ya Majaji wa Mahakama Kuu katika maadhimisho hayo.
Rais Jakaya Kikwete (katikati), akiwa na Viongozi wa Vyama vya Siasa pamoa na wa Dini katika hafla ya maadhimisho ya siku hiyo, leo jijini.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Said Mwema (kushoto), akijadiliana jambo na Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela (kulia) na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, wakati wa maadhimisho hayo.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakiwa katika maadhimisho hayo, wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakitokea katika hafla ya maadhimisho hiyo.
Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na wanasheria pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya maadhimisho hiyo. Kulia ni Jaji Mkuu, Othman Chande.
Rais Jakaya Kikwete, akipongezwa na Jaji Mkuu Othman Chande, baada ya kuhutubia katika hafla ya maadhimisho ya siku hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Magari ya msafara wa Rais yakiwa yameegeshwa nje ya Hoteli ya Kempiski, wakati wa hafla ya maadhimisho ya siku hiyo, yaliyofanyika Mahakama Kuu, Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete (wa tatu kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Majaji wakati wa maadhimisho ya siku hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Jaji Kiongozi Othman Chande, akizungumza katika hafla ya maadhimisho ya siku hiyo, kabla ya mgeni rasmi wa maadhimisho ya siku hiyo, Rais Kiwete, kupanda jukwaani kuwahutubia majaji, wanasheria na wageni waalikwa.
Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania, Francis Tora, akiondoka jukwaani baada ya kutoa salamau za chama hicho katika maadhimisho hayo.
Baadhi ya wanasheria wakiwa katika maadhimisho hayo, wakifuatilia na kusikiliza maelezo na hotuba zilizokuwa zikitolewa katika maadhimisho hayo.
Baadhi ya viongozi wa dini wakiwa katika sherehe hizo, baada ya kupewa fursa ya kutoa waadhi wao katika maadhimisho hayo.
Baadhi ya wanasheria, wakiwa katika hafla hiyo, wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakifanyika katika maadhimisho ya siku hiyo, leo jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment