Mchezaji wa timu ya Bunge, rafiki wa Twiga Stars, Sadifa Juma, akimtoka
Fatuma Khatibu wa timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), katika mchezo wa kirafiki, uwanja wa Karume, Dar es Salaam leo jioni. Kabla ya kuanza kwa mchezo huo, waliolala mabao 2 - 1, Wabunge waliwachangia na kuwakabidhi Twiga, sh. mil 3 na kufanikiwa kukusanya sh. milioni 1, kwenye viingilio vya mchezo huo, ambazo zote zilikwenda kwa timu hiyo. (Picha na Kassim Mbarouk)Thursday, January 26, 2012
Twiga Stars yawakunguta Wabunge rafiki zao 2 - 1
Mchezaji wa timu ya Bunge, rafiki wa Twiga Stars, Sadifa Juma, akimtoka
Fatuma Khatibu wa timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), katika mchezo wa kirafiki, uwanja wa Karume, Dar es Salaam leo jioni. Kabla ya kuanza kwa mchezo huo, waliolala mabao 2 - 1, Wabunge waliwachangia na kuwakabidhi Twiga, sh. mil 3 na kufanikiwa kukusanya sh. milioni 1, kwenye viingilio vya mchezo huo, ambazo zote zilikwenda kwa timu hiyo. (Picha na Kassim Mbarouk)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment