Rais wa Serikali ya Zazibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua pazia, ili kuzindua barabara ya Chanjamjawiri -Tundaua, iliyojengwa kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Misaada la Norway (NORAD), ikiwa ni katika shamara shamra za maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, leo. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Juma Kassim Tindwa. (Picha na Ramadhan Othman)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe katika hafla ya uzinduzi wa barabara hiyo. Kushoto ni Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano, Hamad Masoud Hamad na kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Miundombinu na Mawasiliamo, Dk. Lila Vuai Lila, Naibu Waziri wa Wizira hiyo, Issa Haji Ussi na Balozi wa Norway nchini, Igun Klepsvik.
No comments:
Post a Comment