Uongozi wa Wizara ya Katiba na Utawala Bora, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza nao katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Utawala Bora katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za wizara hiyo, ukumbi wa Ikulu mjini Zanzibar leo. (Picha na Ramadhan Othman Ikulu Zanzibar)
No comments:
Post a Comment