TANGAZO


Sunday, March 13, 2016

SIMBA YAIPIGA PRISON BAO 1-0 LIGI KUU YA VODACOM UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM

Mashabiki wa timu ya Simba wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya timu yao hiyo dhidi ya Prison ya Mbeya, Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo, Katika mchezo huo Simba imeshinda bao 1-0. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Ubao wa matangazo ukionesha Simba 0- Tanzania Prison 0. 
Mashabiki wa Prison wakifuatilia mchezo kati ya timu hizo. 
Hassan Ramadhan 'Kessy' wa Simba akiruka kwanja la Benjamin Asukile wa Prison. 
Golikipa wa tomu ya Prison, Beno Kakolanya, akiruka juu kuokoa mpira wa hatari kwenye lango lake. 
Hassan Ramadhan 'Kessy' wa Simba akiwatoka wachezaji wa Prison wakati wa mchezo huo. 
Hassan Ramadhan 'Kessy' wa Simba akiwatoka wachezaji wa Prison wakati wa mchezo huo.  
Wachezaji wa Simba wakimpongeza Awadhi Juma (chini) baada ya kuifungia timu hiyo bao pekee katika mchezo huo. 
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao pekee katika mchezo huo, lililofungwa na Awadhi Juma.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao pekee katika mchezo huo, lililofungwa na Awadhi Juma. 
Ubao wa matangazo ukionesha Simba 1 Tanzania Prison 0. 
Danny Lyanga wa Simba akikwepa daluga la Jumanne Elefadhil wa Prison.
Danny Lyanga wa Simba wakiwania mpira na wachezaji wa Prison. 
Mfungaji wa bao pekee katika mchezo huo, Awadh Juma akihojiwa na waandishi wa habari.

No comments:

Post a Comment