TANGAZO


Tuesday, January 13, 2015

Vikao vya Kamati za Bunge vyaanza leo jijini Dar es Salaam

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Juma Assad akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Hesabu za serikali (PAC) wakati wa kikao cha mashauriano kuhusu masuala ya Ukaguzi wa misamaha ya kodi na Madeni ya mifuko ya Hifadhi ya Jamii wanayoidai Serikali. (Picha zote na Owen Mwandumbya)
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Juma Assad akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Hesabu za serikali (PAC) wakati wa kikao cha mashauriano kuhusu masuala ya Ukaguzi wa misamaha ya kodi na Madeni ya mifuko ya Hifadhi ya Jamii wanayoidai Serikali.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Juma Assad akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Hesabu za serikali (PAC) wakati wa kikao cha mashauriano kuhusu masuala ya Ukaguzi wa misamaha ya kodi na Madeni ya mifuko ya Hifadhi ya Jamii wanayoidai Serikali.
Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii Mhe. Magareth Sitta (Mb) akiongoza kikao cha kamati yake mara baada ya vikao vya Kamati za Bunge kuanza leo katika Ofisi ndogo za Bunge Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati ya PAC Mhe. Modestus Kilufi akimuuliza jambo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Juma Assad wakati wa kikao cha mashauriano na Ofisi yake kuhusu masuala ya Ukaguzi wa misamaha ya kodi na Madeni ya mifuko ya Hifadhi ya Jamii wanayoidai Serikali.
Mwenyekiti wa kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto Kabwe (Mb) akifafanua jambo mbele ya CAG na maafisa wake walipokutana na wajumbe wa kamati hiyo  kwa ajili ya mashauriano kuhusu masuala ya Ukaguzi wa misamaha ya kodi na Madeni ya mifuko ya Hifadhi ya Jamii wanayoidai Serikali.
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto Kabwe (Mb) akifafanua jambo mbele ya CAG na maafisa wake walipokutana na wajumbe wa kamati hiyo  kwa ajili ya mashauriano kuhusu masuala ya Ukaguzi wa misamaha ya kodi na Madeni ya mifuko ya Hifadhi ya Jamii wanayoidai Serikali. 

No comments:

Post a Comment