TANGAZO


Thursday, January 15, 2015

Shirika la Misaada la Marekani (USAID) lakabidhi pikipiki 10 Bohari Kuu ya Dawa Zanzibar

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Halima Maulid Salum na Mshauri Mwandamizi wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) Bi. Kelly Hamblin wakisaini makabidhiano ya pikipiki 10 kwa ajili ya ufuatiliaji uwepo wa dawa katika vituoni vya afya Wilaya. Hafla hiyo imefanyaka Bohari Kuu la Dawa Maruhubi Mjini Zanzibar. (Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar)
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Halima na Mshauri Muandamizi wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) Bi. Kelly wakibadilishana hati ya makabidhiano. 
Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akikabidhiwa funguo ya pikipiki na Bi. Kelly Hamblin (kusho) Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Bi. Halima Maulid.
Baadhi ya Pikipiki zilizo kabidhiwa na Shirika la Misaada la Marekani (USAID) mjini Zanzibar leo.

No comments:

Post a Comment