Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Deo Filikunjombe akisisitiza jambo wakati kamati yake ilipokutana na Mamlaka ya Bandari (TPA) kujadili taarifa ya Ukaguzi Maalum uliofanywa na CAG kuhusu hoja mbalimbali zilizojitokeza katika Hesabu za Mamlaka hiyo kwa mwaka 2011/2012.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Madeni Kipande akijibu baadhi ya hoja zilizokuwa zikiibuliwa na wabunge wakati wa kikao cha kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) na Mamlaka hiyo kujadili taarifa ya Ukaguzi Maalum uliofanywa na CAG kuhusu hoja mbalimbali zilizojitokeza katika Hesabu za Mamlaka hiyo kwa mwaka 2011/2012.

Mkurugenzi wa Teknolojia na Mawasiliano wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Phares Magessa akijibu hoja zilizokuwa zikiibuliwa na Wabunge kuhudhu udhaifu wa mifumo ya TEHAMA Bandarini wakati wa kikao cha kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) na Mamlaka hiyo kujadili taarifa ya Ukaguzi Maalum uliofanywa na CAG kuhusu hoja mbalimbali zilizojitokeza katika Hesabu za Mamlaka hiyo kwa mwaka 2011/2012.
Mjumbe wa Kamati ya PAC Mhe. Hadji Mponda akiuuliza jambo kwa uongozi wa Mamlaka ya bandari wakati wa kikao cha kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) na Mamlaka hiyo kujadili taarifa ya Ukaguzi Maalum uliofanywa na CAG kuhusu hoja mbalimbali zilizojitokeza katika Hesabu za Mamlaka hiyo kwa mwaka 2011/2012.
No comments:
Post a Comment