Makamu Mkuu wa Chuo cha UDOM, Profesa Ludovick Kinabo (katikati), akiishukuru Kampuni ya Tigo kwa kuendelea kuchangia maendeleo ya chuo cha UDOM. Pembeni yake ni Meneja Uhusiano na Udhamini wa Tigo Bw. Edward Shila pamoja na Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kati, Fadhila Said.
Meneja Uhusiano na Udhamini wa Kampuni ya Tigo Bw. Edward Shila, akionesha maboksi ambayo ndani yake kuna vitabu 300, vilivyotolewa na kampuni hiyo, kusaidia maendeleo ya elimu katika Chuo Kiku cha UDOM.
Profesa Ludovick Kinabo (katikati), akipokea msaada wa vitabu kutoka kwa Meneja Uhusiano na Udhamini wa Kampuni ya Tigo, Edward Shila. Aanayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Tigo, Kanda ya Kati, Fadhila Said. (Picha na mpiga picha wetu)
No comments:
Post a Comment