Marijani Abubakar Msofe ‘Papaa Musofe’ (58), akiingia kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo, kwa ajili ya kusomewa mashitaka katika kesi ya mauaji inayomkabili, (Picha zote na Kassim Mbarouk na Dande Junior wa mseto blog)
Papaa Musofe akindikisha maelezo binafsi yanayomhusu yeye kwa maofisa wa Polisi Mahakamani hapo kabla ya kuingizwa kwenye chumba cha mahakama kwa ajili ya kusoewa shitaka lake la mauaji.
Papaa Musofe akindikisha maelezo binafsi kwa maofisa wa Polisi mahakamani hapo.
Papaa Musofe akindikisha maelezo kwa maofisa wa Polisi mahakamani hapo.
Papaa Msofe akisindikizwa na Maofisa wa Polisi na magereza kwenda kwenye chumba cha Mahakama kwa ajili ya kutajwa kwa kesi yake hiyo leo, Kisutu jijini Dar es Salaam.
Papaa Msofe akitoka kwenye chumba cha Mahakama alikosomewa shitaka la mauaji na kisha kurudishwa kwa jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.
Papaa Msofe, akisindikizwa na Maofisa wa Polisi na Magereza kutoka kwenye chumba cha Mahakama ya Kisutu kwenda kwenye gari la Polisi mara baada ya kusomewa shitaka lake la mauaji, kwenye Mahakama hiyo, jijini Dar es Salaam leo. |
Papaa Musofe akipanda gari la Polisi kurejea mahabusu baada ya kusomewa shitaka la mauaji kwenye Mahakama ya Kisutu.
Papaa Musofe (wa pili kulia), akiwa amekaa kwenye gari ya Polisi, chini ya uangalizi mkali, tayari kwa safari ya kurudi mahabusu.
No comments:
Post a Comment