Yaliyozungumzwa na Viongozi wa NCCR - Mageuzi Ikulu
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR - Mageuzi, James Mbatia, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, wakati alipokuwa akielezea kuhusu masuala mbalimbali waliyoyawasilisha kwa Rais Jakaya Kikwete, walipokwenda Ikulu, kuzugumza naye juu ya mapendekezo yao katika kupatikana Katiba mpya ya Tanzania. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu, George Kahangwa na kulia ni Katibu Mwenezi, Taifa wa Chama hicho, ambaye pia ni Mbunge wa Kasulu Mjini, Moses Machali. (PICHA NA KASSIM MBAROUK)
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR - Mageuzi, James Mbatia, akionesha Katiba ya Jamhuri ya Muungano, aliyosema ni muhimu kuitumia kwa ajili ya kufikia kupata katiba mpya nchini.
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR - Mageuzi, James Mbatia, akionesha Muongozo wa Chama hicho, waliompatia Rais Jakaya Kikwete katika kufikia kupata katiba mpya.
No comments:
Post a Comment