TANGAZO


Sunday, January 22, 2012

Waziri Huvisa na mgogoro wa mashamba Ifakara na Ulanga

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk Terezya Huvisa, akitowa Maelekezo kwa Ofisa Wanyamapori wa Wilaya ya Ulanga,  John Makotta kuhusu mipaka ya mashamba ya wakulima kwenye bonde la mto Kilombero, mkoani Morogoro leo. (Picha na Ali Meja)


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira Dk. Terezya Huvisa, akimsikiliza Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Haji Mponda, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mashariki, wakati wa mkutano wa hadhara, uliofanyika kijiji cha Lugala, kuhusu mashamba ya wakulima wa bonde la Kilombero wilayani Ifakara, Mkoa wa Morogoro. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Francis Miti. (Picha na Ali Meja)



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk. Terezya Huvisa akihutubia wananchi wa kijiji cha Utete Njiwa, Jimbo la Ulanga Mashariki, wilayani Ifakara, kuhusu wakulima waliovamia mashamba ya bonde la mto Kilombero mkoani Morogoro. (Picha na Ali Meja)

No comments:

Post a Comment