Mkuu wa Idara ya Katiba na Sheria wa Chama cha NCCR - Mageuzi, Dk. Sengondo Mvungi akisoma mapendekezo ya chama hicho juu ya mchakato wa Katiba.
Rais Kikwete akiongea na uongozi wa NCCR-MAGEUZI, ulipofika Ikulu Dare es Salaam kwa mazungumza naye kuhusu marekebisho ya Katiba ya Jamhuri.
Rais Kikwete, akiwaaga viongozi wa NCCR Mageuzi, mara baada ya kupiga picha ya pamoja, nje ya jengo la Ikulu.
Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Ngazi za juu wa Chama cha NCCR Mageuzi nje ya jengo la Ikulu, mara baada ya kumaliza kuongea nao, kuhusu mapendelezo ya marekebisho ya Katiba, leo Ikulu.
Rais Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI, James Mbatia katika ziara hiyo.
No comments:
Post a Comment