TANGAZO


Sunday, January 22, 2012

Chiku Galawa atembelea kiwanda cha Saruji Tanga

 Mkuu wa mkoa wa Tanga, Luteni mstaafu, Chiku Gallawa, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Saruji cha mjini Tanga, mara baada ya Mkuu huyo, kuwasili kisha kukitembelea kiwanda hicho, kuona changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo. (Picha na Mdau wetu)



Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni mstaafu, Chiku Gallawa, akizungumza na uongozi wa kiwanda cha saruji kilichopo mkoani Tanga, ambapo pamoja na mambo mengine Mkuu huyo wa Mkoa, aliitaka Menejimenti ya kiwanda hicho, kuangalia uwezekano wa kuwa na wakala katika kila Wilaya mkoani humo.

 Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Saruji cha jijini Tanga, Erik Westerberg (kushoto), akimweleza Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni mstaafu, Chiku Gallawa, namna wanavyokabiliwa na changamoto mbalimbali katika kiwanda hicho, hasa suala la kukatika umeme.

No comments:

Post a Comment