TANGAZO


Tuesday, June 5, 2018

WAHASIBU KUTOKA HALMASHAURI ZA MIKOA YA DODOMA NA SINGIDA WAENDELEA KUPATA MAFUNZO YA MFUMO WA MALIPO EPICOR TOLEO Na. 10.2.

Mkufunzi wa mafunzo ya mfumo wa malipo Epicor toleo Na. 10.2 kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. Augustino Manda (aliyesimama) akitoa maelekezo ya namna ya kutumia mfumo wa epicor 10.2  kwa Waweka Hazina na Wahasibu kutoka Mikoa ya Dodoma na Singida, leo Jijini Dodoma.(Picha zote na Lilian Lundo, Maelezo, Dodoma) 
Mkufunzi wa mafunzo ya mfumo wa malipo Epicor toleo Na. 10.2 kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. Augustino Manda  (aliyesimama)  akitoa maelekezo ya namna ya kutumia mfumo huo kwa Wahasibu wa Manispaa ya Jiji la Dodoma leo, Jijini Dodoma.
Mkufunzi wa mafunzo ya mfumo wa malipo Epicor toleo Na. 10.2 kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. Augustino Manda  (aliyesimama)  akitoa maelekezo ya namna ya kutumia mfumo huo kwa Wahasibu wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI  leo, Jijini Dodoma.
Waweka Hazina na Wahasibu kutoka Halmashauri za Mikoa ya Dodoma na Singida wakifuatilia mafunzo ya mfumo wa malipo ya Epicor toleo Na. 10.2  leo, Jijini Dodoma, mfumo ambao umeboreshwa na utafanya kazi kwa uwazi uwajibikaji na utawala bora katika usimamizi wa fedha za Umma ambapo unatarajiwa kuanza kutumika na Mamlaka zote za Serikali za Mitaa nchini kuanzia Julai 1 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment