TANGAZO


Thursday, August 25, 2016

MADIWANI KUTOKA UGANDA WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO JIJINI DAR ES SALAAM

Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mhe. Isaya Mwita Charles akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano baina ya Wataalamu kutoka Jijini la Dar es Salaam na Madiwani kutoka baadhi ya Halmashauri za Uganda Magharibi na Kaskazini wakati wa ziara yao ya kujifunza masuala mbalimbali leo Jijini Dar es Salaam.Kutoka kulia ni Mratibu wa Taifa wa Mtandao wa Majiji Tanzania (TACINE) Bw. Philotheusy Mbogoro, Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jiji la Dar es Salaam, Phillip Mwakyusa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Koboko, na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mamlaka ya Miji nchini Uganda (UAAU) Mhe. Sanya Wilson. 
Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jiji la Dar es Salaam, Phillip Mwakyusa akielezea jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano baina ya Wataalamu kutoka Jiji hilo na baadhi ya Madiwani kutoka Halmashauri za Miji nchini Uganda wakati wa ziara yao ya kujifunza masuala mbalimbali leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Koboko, na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mamlaka ya Miji nchini Uganda (UAAU) Mhe. Sanya Wilson na Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mhe. Isaya Mwita Charles. 
Afisa Uhusiano na Itifaki wa Jiji la Dar es Salaam Gaston Mwakwembe akielezea jambo wakati wa mkutano uliowakutanisha baadhi ya viongozi wa Halmashauri ya Jiji na baadhi ya Madiwani kutoka nchini Uganda leo Jijini Dar es Salaam. Madiwani hao wapo katika ziara ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo Menejimenti ya Usafiri, Uchafu, Maji, Rasilimali watu, Fedha na namna ya kuongoza mabaraza ya Madiwani. 
Mhandisi wa Barabara wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Swalehe Nyenye akiwasilisha maada kuhusu mkakati wa kuboresha usafiri katika Jiji la Dar es Salaam leo wakati wa ziara ya baadhi ya Madiwani kutoka Uganda walipo nchini kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo Menejimenti ya Usafiri, Uchafu, Maji, Rasilimali watu, Fedha,Kilimo cha mjini,na namna ya kuongoza mabaraza ya Madiwani. 
Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Godhelp Ringo  akifafanua maada kuhusu muundo wa Jiji la Dar es Salaam wakati wa ziara ya baadhi ya Madiwani kutoka Uganda waliopo nchini kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo Menejimenti ya Usafiri, Uchafu, Maji, Rasilimali watu, Fedha,Kilimo cha mjini,na namna ya kuongoza mabaraza ya Madiwani. 
Baadhi ya Madiwani kutoka nchini Uganda wakifuatilia mada kutoka kwa wataalamu wa Jiji la Dar es Salaam wakati wa ziara kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo Barabara na Mitaa, Menejimenti ya Usafiri, Uchafu, Maji, Rasilimali watu, Fedha,Kilimo cha mjini,na namna ya kuongoza mabaraza ya Madiwani. 
Baadhi ya Madiwani kutoka nchini Uganda wakifuatilia mada kutoka kwa wataalamu wa Jiji la Dar es Salaam wakati wa ziara kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo Barabara na Mitaa, Menejimenti ya Usafiri, Uchafu, Maji, Rasilimali watu, Fedha,Kilimo cha mjini,na namna ya kuongoza mabaraza ya Madiwani. 
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mhe. Isaya Mwita Charles akimkabidhi zawadi Mstahiki Meya wa Manispaa ya Koboko, na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mamlaka za Miji nchini Uganda (UAAU) Mhe. Sanya Wilson(kushoto) wakati wa ziara ya Madiwani kutoka nchini Uganda leo Jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni Kaimu  ya  Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jiji la Dar es Salaam, Phillip Mwakyusa. 
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mhe. Isaya Mwita Charles akipokea zawadi kutoka kwa  Mstahiki Meya wa Manispaa ya Koboko, na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mamlaka za Miji nchini Uganda (UAAU) Mhe. Sanya Wilson(kushoto) wakati wa ziara ya Madiwani kutoka nchini Uganda leo Jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni Kaimu  ya  Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jiji la Dar es Salaam, Phillip Mwakyusa. 
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mhe. Isaya Mwita Charles akimkabidhi zawadi Mstahiki Meya wa Manispaa ya Koboko, na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mamlaka za Miji nchini Uganda (UAAU) Mhe. Sanya Wilson(kushoto) wakati wa ziara ya Madiwani kutoka nchini Uganda leo Jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni Kaimu  ya  Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jiji la Dar es Salaam, Phillip Mwakyusa.(Picha zote na Frank Shija, Maelezo)

No comments:

Post a Comment