TANGAZO


Sunday, October 4, 2015

Rais Kikwete azindua Jengo la Kuhifadhia Dawa la Hospitali ya CCBRT jijini Dar es Salaam jana Oktoba 3, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya dawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid na katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa  kwa  Mtendaji Mkuu wa CCBRT Bw. Erwin Telemans alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya dawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete viongozi mbalimbali alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya dawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wadau alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya dawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya dawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa Mabalozi wa nchi wafadhili  alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya dawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mabalozi alipokwenda Hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa mabalozi akiwa ameongozana na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya dawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa na mabalozi na watoto wanaopata matibabu wakikata utepe kuzindua jengo la bohari kuu ya dawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif Rashid. 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuashiria kufunguliwa jengo la bohari ya dawa  huku akishuhudiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa.
Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya dawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa.
Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya dawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa.
Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya Hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa.
Rais Kikwete akinyunyizia maji mmea a Mbuyu uliopandwa kama kumbukumbu.
Rais Kikwete akifunua kitambaa chenye jina la aina ya huo mbuyu.
 
Rais Kikwete akipokea mchoro wa kitambaa uliotengenezwa na kinamama waliopona ugonjwa wa Fistula.
Watendaji na wagonjwa wa Fistula wakishuhudia.
Rais Kikwete akiwa na mtoto ambaye mama yake anatobiwa Fistula hospitalini hapo.
Rais Kikwete na wadau wengine wakipozi kwa furaha na kinamama walio katika matibabu ya Fistula kutoka kila pembe ya Tanzania.
Rais Kikwete akiwapongeza kinamama hao kwa kuwa mashujaa na kujitokeza kutibiwa ugonjwa wa Fistula ambao unatibika.
Rais Kikwete akifurahi na mzazi na mtoto anayesubiri kufanyiwa upasuaji wa mdomo-sungura.
Rais Kikwete akiongea na mtoto ambaye baada ya kupata  matibabu ya kuondoa mtoto wa jicho hapo CCBRT  ameweza kuona kwa mara ya kwanza maishani mwake.
Rais Kikwete  na wote wakimshangilia mtoto ambaye baada ya kupata  matibabu ya kuondoa mtoto wa jicho hapo CCBRT  ameweza kuona kwa mara ya kwanza maishani mwake.
Rais Kikwete akimpongeza mtoto ambaye baada ya kupata  matibabu ya kuondoa mtoto wa jicho hapo CCBRT  ameweza kuona kwa mara ya kwanza maishani mwake.
Sehemu ya kupumzikia iliyopo karibu na canteen mpya iliyozinduliwa.
Sehemu ya kupumzikia iliyopo karibu na hio canteen mpya iliyozinduliwa.
Mtendaji Mkuu wa CCBRT Bw. Erwin Telemans akiongea katika sherehe za  kuzindua jengo la bohari kuu ya dawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Baadhi y wageni waalikwa na wafadhili wa mradi huo.
Mshauri wa ufundi wa Hospitali ya CCBRT Dkt. Brenda D'Mello akitoa maelezo ya shughuli za hapo.

Sehemu ya kupumzikia iliyopo karibu na canteen mpya iliyozinduliwa.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif Rashid. 
Rais Kikwete akitoa hotuba yake ya kuzindua majengo hayo.
Rais Kikwete akitoa hotuba yake ya kuzindua majengo hayo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa kwa hotuba na  Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es Salaam Dr Wilbroad Slaa baada ya kuzindua jengo la bohari kuu ya dawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa kwa hotuba na  Mtendaji wa  Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Bw. Erwin Telemans baada ya  kuzindua jengo la bohari kuu ya dawa ya hospitali hiyo, pamoja na canteen.
Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa akimshukuru Rais Kikwete kwa kuzindua jengo la bohari kuu ya Dawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Kikwete, Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa, Waziri wa Afya na Mtendaji Mkuu baada ya  kuzindua jengo la bohari kuu ya dawa ya Hospitali hiyo pamoja na canteen
Karibuni vinywaji baridi waheshimiwa...."Anasema mmoja wa wahudumu.
Rais Kikwete akiongea na Mabalozi mbalimbali.
Rais Kikwete na wadau wa Hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja.
Rais Kikwete na watendaji  wa Hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja.
Rais Kikwete na wafadhili  wa Hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja.
Rais Kikwete na wajumbe wa Bodi ya  Hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja.
Rais Kikwete akiagana na Balozi wa Ujerumani na mabalozi wengine baada ya sherehe hiyo.

No comments:

Post a Comment