![]() |
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,wakiwa katika kikao maalumu kwa ajili ya kuagana na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo.
|
![]() |
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,Mhandisi ,Patrick Kibasa akizungumza katika kikao hicho.
|
![]() |
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na USAFI WA Mazingira mjini Moshi, MUWSA.
|
![]() |
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi, MUWSA,wakiwa katika kikao hicho.
|
![]() |
Meneja Biashara wa MUWSA, John Ndetiko akitoa neon la shukrani katika kikao hicho.
|
![]() |
![]() |
Mhandisi Luhemeja akiagana na wafanyakazi wa MUWSA. (Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini)
|
















No comments:
Post a Comment