TANGAZO

Monday, August 31, 2015

Mgombea Mwenza wa Urais Ukawa Juma Duni Haji aiteka Mtwara

Mamia ya wakazi wa Mtwara wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Ukawa uliohutubiwa na mgombea Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Duni Haji katika Uwanja wa Mashujaa Mtwara leo. (Picha zote na Francis Dande)
Mgombea Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Duni Haji akiwahutubia mamia ya wakazi wa kakazi wa mjini Mtwara katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Mtwara leo. 
Mamia ya wakazi wa Mtwara wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Ukawa uliohutubiwa na mgombea Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Duni Haji katika Uwanja wa Mashujaa Mtwara leo. 

Mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Juma Duni Haji akisalimiana na wakazi wa wilaya ya Newala baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Diesel mkoani Mtwara jana. 

No comments:

Post a Comment