TANGAZO


Friday, July 3, 2015

Wadau wakutana kujadili taarifa ya Utafiti kuhusu vyanzo vya ukatili kwa watoto

WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto imeendesha mkutano na wadau kutoka Taasisi za Serikali na Binafsi kujadili taarifa ya utafiti uliyofanyika katika mikoa 10 nchini kwa kushirikiana na Mtaalamu kutoka Chuo kikuu cha Huddersfield nchini Uingereza.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bibi Anna Maembe (katikati) akiendesha mkutano huo.
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Watoto, Bibi. Magret Mussae (katikati) akiwa na wadau wengine katika mkutano huo.
Mtafiti mwandamizi kutoka Chuo Kikuu cha Huddersfield nchini Uingereza Profesa Berry Percy Smith akiwasilisha taarifa hiyo. (Picha zote na Hassan Mabuye)

No comments:

Post a Comment