TANGAZO


Friday, March 27, 2015

Mudy Matumla, Mchina kupambana Usiku huu Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam

Bondia Wang Xin Hua kutoka China (kushoto)  wakitunishiana misuli na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo usiku katika ukumbi wa Diamond jubilee. (Picha zote na SUPER D BOXING NEWS)
Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto'  wakitazamana kwa usongo  na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond jubilee katikati ni Jay Msangi Promota wa mpambano uho Picha na SUPER D BOXING NEWS
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Mfaume Mfaume kushoto na Cosmas Cheka baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao wa leo.
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto'  na Mohamedi Matumla baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao wa leo. 
Mabondia Japhert Kaseba Kushoto akitunishiana misuli na Mada Maugo baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa leo Ijumaa katika ukumbi wa Diamond Jubilee Picha na SUPER D BOXING NEWS

No comments:

Post a Comment