TANGAZO

Monday, January 26, 2015

Vikundi vya Benki za Kijamii "VICOBA" wapatiwa mafunzo maalum na Vodacom Tanzania

Baadhi ya waratibu mbalimbali wa Vikundi vya Benki za Kijamii VIKOBA wakimsikiliza  Meneja huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania, Simon Martin, alipokuwa akitoa mafunzo juu ya matumizi ya simu za mkononi kwa kutumia Intaneti, mafunzo hayo yalifanyika makao makuu ya vikundi hivyo vya Benki za kijamii  jijini Dar es Salaam yakiwa na lengo la kuwawezesha kujua namna ya kutumia mawasiliano katika kuboresha shughuli zao.

Meneja huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Simon Martin (kushoto), akimwelekeza Mratibu wa VIKOBA International Vardiana Kamgisha jinsi ya kupata huduma rahisi za mawasiliano kupitia simu ya kisasa aina ya smart phone wakati wa mafunzo maalumu kwa vikundi hivyo vya Benki za Kijamii juu ya matumizi ya simu za mkononi kwa kutumia Intaneti. Mafunzo hayo yalifanyika makao makuu ya vikundi hivyo vya Benki ya Kijamii jijini Dar es Salaam yakiwa na lengo la kuwawezesha kujua namna ya kutumia mawasiliano katika kuboresha shughuli zao.
Mratibu utekelezaji wa VICOBA Valeria Nguma (wapili toka kulia), akifafanuliwa jambo na Meneja huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania, Stima Mgeni wakati wa mafunzo maalumu kwa vikundi hivyo vya benki za kijamii juu ya matumizi ya simu za mkononi kwa kutumia Intaneti, Mafunzo hayo yenye lengo la kuwawezesha kujua namna ya kutumia mawasiliano katika kuboresha shughuli zao yalifanyika makao makuu ya vikundi hivyo vya Benki za Kijamii jijini Dar es Salaam leo.
Meneja huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania, Simon Martin (kushoto), akimwelekeza Mratibu wa Ofisi ya Rais Roda Richard (kulia), jinsi ya kupata huduma rahisi za mawasiliano kupitia simu ya kisasa aina ya smart phone wakati wa mafunzo maalumu kwa vikundi hivyo vya Benki ya Kijamii juu ya matumizi ya simu za mkononi kwa kutumia Intaneti. Mafunzo hayo yalifanyika makao makuu ya vikundi hivyo vya Benki ya Kijamii jijini Dar es Salaam leo, yakiwa na lengo la kuwawezesha kujua namna ya kutumia mawasiliano katika kuboresha shughuli zao aneshuhudia katikati ni Katikati ni Liliansia Joachim. (Picha zote na Mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment