TANGAZO


Saturday, November 22, 2014

Makamu wa Rais Dk. Garib Bilal atunuku vyeti na shahada wahitimu ESAMI Leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Taasisi ya  ESAMI iliyopo Njiro Hill Mkoani Arusha alipowasili kwenye Taasisi hiyo leo Novemba 22,2014 kuhudhuria Mahafali ya nane ya Taasisi hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal wa pili kulia na Viongozi wa Taasisi ya ESAMI iliyopo Njiro Hill Mkoani Arusha  akiongoza maandamano ya mahafali ya nane ya Taasisi hiyo yaliyofanyika leo Novemba 22,2014 Njiro Hill Mkoani Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti Witness Steven mhitimu wa Shahada ya MBA katika Taasisi ya ESAMI Kampas ya Dar es salaam kwenye mahafali ya nane ya Taasisi hiyo iliyofanyika leo Novemba 22,2014 Njiro Hill Mkoani Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti Leah Mumbua mhitimu wa Shahada ya MBA katika Taasisi ya ESAMI Kampas ya Nairobi kwenye mahafali ya nane ya Taasisi hiyo iliyofanyika leo Novemba 22,2014 Njiro Hill Mkoani Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wahitimu wa fani mbalimbali kwenye Mahafali ya nane ya Taasisi ya ESAMI yaliyofanyika leo Novemba 22, 2014 Njiro Hill Mkoani Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wahitimu wa fani mbalimbali kwenye Mahafali ya nane ya Taasisi ya ESAMI yaliyofanyika leo Novemba 22, 2014 Njiro Hill Mkoani Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal katikati  akipokea zawadi kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma George Yambesi kwenye Mahafali ya nane ya Taasisi ya ESAMI yaliyofanyika leo Novemba 22, 2014 Njiro Hill Mkoani Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal (katikati),  akiwa katika picha pamoja na Viongozi na Wahitimu wa Fani mbalimbali kwenye Mahafali ya nane ya Taasisi ya ESAMI  yaliyofanyika leo Novemba 22, 2014 Njiro Hill Mkoani Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akiwa katika picha pamoja na Viongozi na Wahitimu wa Fani mbalimbali kwenye Mahafali ya nane ya Taasisi ya ESAMI  yaliyofanyika leo Novemba 22, 2014 Njiro Hill Mkoani Arusha.   (Picha zote na OMR)

No comments:

Post a Comment