TANGAZO


Saturday, October 11, 2014

Wakuu wa Mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro waungana na Viongozi wa Dini kwenye mazoezi yao Mjini Moro

Wakuu wa Mikoa ya Dar es Salaam, Said Sadiki (wapili kulia) na Morogoro, Joel Bendera (wakwanza kulia), wakinyoosha viungo walipoungana na wachezaji wa timu za viogozi wa Dini, Mjini Morogoro leo, kufanya mazoezi ya mwisho ya kujiandaa na mpambano wao, utakafanyika kesho kabla ya mchezo wa Taifa Stars na Benin, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mkuu wa Mikoa ya Dar es Salaam, Said Sadiki (watatu kulia), akinyoosha viungo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (wapili kulia) na wachezaji wa timu za viogozi wa Dini, Mjini Morogoro leo, kufanya mazoezi ya mwisho ya kujiandaa na mpambano wa viongozi hao, utakafanyika leo kabla ya mchezo wa Taifa Stars na Benin, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Wakwanza kulia ni Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum.
Baadhi ya viongozi wa dini za Kiislamu na Kikristo wakiwa katika mazoezi yao ya mwisho kabla ya mpambano wao utakaochezwa kesho Uwanja wa Taifa.
Mkuu wa Mikoa ya Dar es Salaam, Said Sadiki (kushoto), akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (wapili kushoto na wachezaji wa timu za viogozi wa Dini, Mjini Morogoro leo, kufanya mazoezi ya mwisho ya kujiandaa na mpambano wa viongozi hao, utakafanyika leo kabla ya mchezo wa Taifa Stars na Benin, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Watatu ni Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum.
Viongozi wa Dini wakifanya mazoezi ya mwisho na Mkuu wa Mikoa ya Dar es Salaam, Said Sadiki (kulia), Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, wakati walipojumuika nao leo, mjini Morogoro. 
Wakuu wa Mikoa ya Dar es Salaam, Said Sadiki (kushoto) na wa Morogoro, Joel Bendera (wapili kushoto), wakinyoosha viungo walipoungana na wachezaji wa timu za viogozi wa Dini, Mjini Morogoro leo, 
Wakuu wa Mikoa ya Dar es Salaam, Said Sadiki (kushoto) na wa Morogoro, Joel Bendera (wapili kushoto), wakinyoosha viungo walipoungana na wachezaji wa timu za viogozi wa Dini, Mjini Morogoro leo, 
Wakuu wa Mikoa ya Dar es Salaam, Said Sadiki (kushoto) na wa Morogoro, Joel Bendera (wapili kushoto), wakinyoosha viungo walipoungana na wachezaji wa timu za viogozi wa Dini, Mjini Morogoro leo. Wa tatu ni Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum.
Mkuu wa Mikoa ya Dar es Salaam, Said Sadiki (kulia), akipiga mpira wakati wa mazoezi hayo ya mwisho ya kujiandaa na mpambano wa viongozi hao, utakafanyika leo kabla ya mchezo wa Taifa Stars na Benin, Uwanja wa Taifa, jijini.
Askofu Mokiwa akipiga mpira wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika Morogoro leo.
Mkuu wa Mikoa ya Dar es Salaam, Said Sadiki, akipiga mpira wakati wa mazoezi hayo ya mwisho ya kujiandaa na mpambano wa viongozi hao, utakafanyika leo, kabla ya mchezo wa Taifa Stars na Benin, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. 
Mkuu wa Mikoa ya Dar es Salaam, Said Sadiki (kulia), akiwa na baadhi ya wachezaji wa viongozi wa dini Mjini Morogoro leo, kufanya mazoezi ya mwisho ya kujiandaa na mpambano wa viongozi hao, utakafanyika leo, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mikoa ya Dar es Salaam, Said Sadiki (kushoto), akipiga mpira wakati alipojiunga na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (hayupo pichani) na wachezaji wa timu za viogozi wa Dini, Mjini Morogoro leo kufanya nao mazoezi.
Mkuu wa Mikoa ya Dar es Salaam, Said Sadiki (kulia), akiuangalia mpira uliokuwa umedhibitiwa na mmoj wa viongozi wa dini Mohamed Yahya 'Tostao' wakati alipojiunga na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (hayupo pichani) na wachezaji wa timu za viogozi wa Dini, Mjini Morogoro, kufanya mazoezi ya mwisho ya kujiandaa na mpambano wa viongozi hao, utakafanyika leo kabla ya mchezo wa Taifa Stars na Benin, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mikoa ya Dar es Salaam, Said Sadiki (kulia), akipiga mpira wakati alipojiunga na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (hayupo pichani) na wachezaji wa timu za viogozi wa Dini, Mjini Morogoro jana, kufanya mazoezi ya mwisho ya kujiandaa na mpambano wa viongozi hao, utakafanyika leo kabla ya mchezo wa Taifa Stars na Benin, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Watatu ni Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum
Mkuu wa Mikoa ya Dar es Salaam, Said Sadiki (kushoto), akipiga mpira na baadhi ya wachezaji wa timu ya viongozi wa dini wakati alipojiunga nao kwenye mazoezi yao, Mjini Morogoro, leo.

No comments:

Post a Comment