Ofisa Ushauri wa Vijana wa UNFPA – Tanzania Bi.
Farida Juma malezo kuhusu njia sahihi ya matumizi ya Kondomu kwa baadhi ya
vijana waliotembelea banda la UNFPA katika viwanja vya Maonyesh ya Wiki ya
Vijana yanayofanyika mjini Tabora.
Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Esther Riwa akigawa jarida la Si Mchezo kwa
mmoja wa wananchi aliyetembelea banda la Wizara hiyo katika Maonyesho ya Wiki
ya Vijana mjini Tabora.
Ofisa Utamaduni wa Bodi ya Filamu Tanzania Bw.
Simon Peter akielezea kuhusu namna ya uandishi wa miswada ya Filamu kwa mmoja
wa vijana awaliotembelea banda lao katika Maonyesho ya Wiki ya Vijana mjini
Tabora.
Ofisa Vijana Mstaafu akitoa mada kuhusu Stadi za
Maisha katika Kongamano la Vijana ikiwa ni kuadhimisha Wiki ya Vijana ambao
Kitaifa inafanyikia mkoani Tabora.
Baadhi ya wadau wa Vijana wakifuatilia mada
wakati wa Kongamano la Vijana kuhusu Stadi za Maisha lililofanyika mjini Tabora
mapema hivi karibuni
Vijana wa DSW wakifafanua kuhusu progamu ya
Kijana Kwa Kijana inayoendeshwa na Shirika lao kwa kushirikisha vikundi vya
vijana.
Baadhi ya Watumishi waWizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo wakiangalia Vitabu wakati wa Maonyesho ya Wiki ya Vijana
mjini Tabora.
Wadau wakiangalia Kahawa ya Ngara katika banda la
Mkoa wa Kagera.
Mjasiriamali wa Mikoba na Batiki Bibi. Sophia Labani
akimwelekeza mteja wake ubora wa bidhaa zake wakati wa Wiki ya Vijana
inayofanyika kitaifa mjini Tabora. (Picha zote na Frank Shija, Tabora)
No comments:
Post a Comment