TANGAZO

Sunday, July 28, 2013

Aisha Sururu Foundation yatoa msaada wa magodoro kwa wanafunzi wa Shule mbalimbali za Sekondari wanaoishi Masjid Idrissa Kariakoo jijini Dar es Salaam

Wanafunzi wa shule mbalimbali za Sekondari jijini Dar es Salaam ambao wameweka kambi ya kujisomea katika Msikiti wa Idrisa Kariakoo jijini wakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Aisha Sururu Fonditio Aisha Sululu kulia baada ya kuwakabizi magodoro na Mashika kwa ajili ya kulalia wawapo katika masomo yao ya ziadi. (Picha zote na Blog ya SUPER D)

Mkurugenzi Mtendaji wa Aisha Sururu Fondition, Aisha Sururu kulia akimkabizi mmoja wa vijana wanaojisomea katika kambi ya msikiti wa Idrisa, Muhsin Juma magodoro aliyotoa kwa ajili ya vijana hawo kulalia.

Mkurugenzi Mtendaji wa Aisha Sururu Fondition, Aisha Sururu kulia akimkabizi mmoja wa vijana wanaojisomea katika kambi ya msikiti wa Idrisa, Muhsin Juma mashuka pamoja na magodoro aliyotoa kwa ajili ya vijana hawo kulalia.

No comments:

Post a Comment